AMKA MTANZANIA

Chukua Hatua Juu ya Maisha Yako.

KUHUSU MTANDAO HUU

Kuhusu AMKA MTANZANIA.

Habari rafiki?

Karibu sana kwenye mtandao wetu wa AMKA MTANZANIA.

AMKA MTANZANIA ni mtandao ambao umejikita katika kutoa makala za mafunzo na hamasa kwa watu wote ambao wanapenda kupiga hatua kwenye maisha yao.

Mtandao huu ni nyumbani kwa wale wote ambao wanapenda kufanikiwa zaidi kwenye maisha yao kwenye kila eneo la maisha kuanzia fedha, kazi, biashara, mahusiano, familia na afya.

Kupitia mtandao huu kila siku unapata makala zenye mafunzo na hamasa ya kupiga hatua zaidi ili kuweza kufanikiwa.

Kupitia AMKA MTANZANIA pia utapata mafunzo na ushauri wa kina kuhusu Biashara, Fedha, Uwekezaji na Mafanikio.

Kupitia AMKA MTANZANIA utajijengea uwezo wa kujiamini, na kuepuka kukata tamaa hata pale unapokutana na changamoto au hali ngumu.

Huduma Zetu;

Pamoja na mafunzo mazuri unayopata kupitia makala zilizopo kwenye mtandao huu, unaweza kupata huduma nyingine nzuri zaidi kupitia mtandao huu.

Zifuatazo ni huduma nzuri unazoweza kupata kwenye AMKA MTANZANIA, ambazo zitakuwezesha kufanikiwa zaidi;

 1. Vitabu vya biashara na mafanikio.

Hapa unaweza kupata vitabu vizuri vya biashara na mafanikio kwa ujumla. Vitabu hivi vipo kwenye mfumo wa nakala tete (softcopy) na nakala ngumu (Hardcopy).

Kupata utaratibu wa vitabu BONYEZA MAANDISHI HAYA

 1. Kundi maalumu la mafunzo.

Lipo kundi maalumu la mafunzo ambalo unaweza kujiunga na kuendelea kujifunza zaidi kila siku. Kundi hili lipo kwenye mitandao ya wasap na telegram. Ili uweze kuingia kwenye kundi hili, unapaswa kujiunga na KISIMA CHA MAARIFA.

Kujiunga na KISIMA CHA MAARIFA, bonyeza maandishi haya ili kupata maelekezo.

 1. Ushauri wa moja kwa moja kutoka kwa Kocha Makirita Amani.

Unaweza kupata ushauri wa moja kwa moja kutoka kwa Kocha Makirita Amani kwa njia ya makala au moja kwa moja. Kusoma makala za ushauri bonyeza maandishi haya.

Kupata ushauri wa moja kwa moja kutoka kwa Kocha Makirita, bonyeza hapa kupata utaratibu kamili.

 1. Kupata blog na kutengeneza kipato kwenye mtandao.

Kupitia mtandao huu unaweza kujifunza na kupata blog ambayo utaweza kuitumia kutengeneza kipato kwenye mtandao wa intaneti.

Kuweza kupata huduma hii, bonyeza maandishi haya.

 1. Kupokea makala na mafunzo moja kwa moja kwenye email yako.

Kuna makala na mafunzo ambayo yanatumwa moja kwa moja kwenye email yako. Kupata huduma hii ambayo ni bure kabisa, bonyeza maandishi haya.

 Mawasiliano.

Kwa mawasiliano zaidi kuhusiana na chochote kwenye mtandao huu, unaweza kutumia njia zifuatazo;

Namba za simu; +255 717 396 253 au +255 755 953 887

EMAIL; maarifa@kisimachamaarifa.co.tz au amakirita@gmail.com

 KARIBU SANA TUFANYE KAZI PAMOJA KWA MAFANIKIO YAKO. 

3 thoughts on “KUHUSU MTANDAO HUU

 1. nimekusoma ndugu vyote hivyo kunielekeza mpaka nikafahamu utaratibu wake ukoje nimeonna umuhimu wa mwalimu ndugu yangu na kwa hili naomba uwe mwalimu wangu wa masomo haya .nami napenda kuwa bloger mzuli na mkubwa .

  Like

 2. Habari Mbaruku,
  Karibu sana, niko tayari kuwa mwalimu wako nafikiri nilishakutumia maelezo ya MENTORSHIP PROGRAM. Tunaweza kuanzia hapo na ukajifunza mengi sana.
  TUKO PAMOJA.

  Like

Comments are closed.

%d bloggers like this: