AMKA MTANZANIA

Chukua Hatua Juu ya Maisha Yako.

KUHUSU KOCHA DR MAKIRITA AMANI

Kocha Dr. Makirita Amani ni Daktari Wa Binadamu, Kocha Wa Mafanikio, Mwandishi Na Mjasiriamali.

Ni mwanzilishi na mwendeshaji wa mitandao miwili inayotoa makala za kufundisha na kuhamasisha. Mitandao hiyo ni AMKA MTANZANIA na KISIMA CHA MAARIFA.

Ni mwandishi wa vitabu mbalimbali vya maendeleo binafsi, fedha, biashara na mafanikio. Pia ni mchambuzi wa vitabu mbalimbali vilivyoandikwa na waandishi wengine na kuviweka kwa namna rahisi ya mtu kujifunza na kuweza kuchukua hatua.

Dr Makirita Amani anaishi kusudi la maisha yake ambalo ni kuwawezesha watu kuwa na maisha bora kupitia kazi anazozifanya.

Kwenye utoaji wa huduma zake, Dr Makirita anaongozwa na falsafa hii; unaweza kupata chochote unachotaka kwenye maisha yako, kama utawasaidia watu wengi zaidi kupata kile wanachotaka.

Karibu uungane naye katika huduma anazotoa, kwa kusoma makala, vitabu na kushiriki mafunzo na huduma nyingine anazozitoa ili uweze kupiga hatua zaidi kwenye maisha yako.

Kusoma makala za mafunzo na hamasa itakayokuwezesha kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yako, tembelea mitandao hii miwili kila siku; www.amkamtanzania.com  na www.kisimachamaarifa.co.tz  Kupitia mitandao hiyo pia utapata taarifa mbalimbali kuhusu huduma mpya za Kocha Dr Makirita Amani.

Kupata orodha ya vitabu vilivyoandikwa na Kocha Dr Makirita Amani na utaratibu wa kuvipata, fungua; www.amkamtanzania.com/vitabu

Kupata chambuzi za vitabu fungua; www.t.me/somavitabutanzania kisha bonyeza JOIN CHANNEL.

Kupata huduma nyingine za ukocha kutoka kwa Kocha Dr Makirita Amani, fungua; www.amkamtanzania.com/kocha

Kwa mawasiliano, tumia njia hizi;

Simu;  +255 717 396 253 | Email; amakirita@gmail.com

%d bloggers like this: