AMKA MTANZANIA

Chukua Hatua Juu ya Maisha Yako.

KUWA TAJIRI

KITABU; KWA NINI MPAKA SASA WEWE SIO TAJIRI.
(Kwa kifupi; hiki ni kitabu kinachoelezea sababu 25 zinazokufanya mpaka sasa unaendelea kuwa masikini. Kinapatikana kwa tsh 5,000/=. Tuma pesa na email kwenda 0717396253 au 0755953887 kisha utatumiwa kitabu kwenye email yako.)

  Waswahili wanasema huwezi kutatua tatizo usilolijua. Baada ya kufuatilia kwa kina sana kuhusiana na jitihada za watu kuondoka kwenye umasikini na kuwa matajiri nimegundua kwamba wengi wetu tunajaribu kutatua tatizo tusilolijua.
  Katika tatizo letu la umasikini tumekuwa tukijipa sababu nyingi sana kwa nini hatujaweza kuwa matajiri. Lakini asilimia tisini ya sababu hizo ni za uongo. Na hata hiyo asilimia kumi ambazo ni za ukweli bado hatuna suluhisho la sababu hizo.
  Tunakuwa na sababu za uongo kwa sababu hakuna sehemu yoyote kwenye mfumo wa elimu tunakofundishwa jinsi ya kutengeneza utajiri. Na kwenye jamii kwa kuwa masikini ni wengi zaidi ya matajiri hakuna kikubwa tunachoweza kujifunza kutoka kwenye jamii.


  Kwa kuona umuhimu wa elimu hii kwangu na kwa watanzania wenzangu nimeandika kitabu kinachoitwa KWA NINI MPAKA SASA WEWE SIO TAJIRI, sababu ishirini na tano zinazokuzuia wewe kufikia utajiri. Kitabu hiki kipo kwenye mfumo wa softcopy wa PDF na unaweza kukisoma kwenye kompyuta yako au simu yako kama ina uwezo wa kusoma vitabu.
  Kwenye kitabu hiki utajifunza sababu ishirini na tano kwa nini mapaka sasa wewe sio tajiri. Na pia kwenye kila sababu utajifunza ufanye nini ili uweze kuondoka kwenye umasikini na kuingia kwenye utajiri.
  Kitabu hiki kitapatikana kwa gharama ndogo sana ya shilingi za kitanzania elfu tano(5,000/=) ili kila mtanzania aweze kukisoma na kutumia mafundisho hayo kuboresha maisha yake.
  Kupata kitabu hiki tuma fedha tsh elfu tano kwa tigo pesa(0717396253) au mpesa(0755953887) na kisha tuma email yako kwenye moja ya hizo namba na utatumiwa kitabu chako. Kwa mawasiliano zaidi unaweza kutumia namba hizo au email amakirita@gmail.com
  Wahi upate kitabu hiki mapema ili uendeleze mabadiliko makubwa kwenye maisha yako kwa mwaka huu 2014.
  Nakutakia kila la kheri na tuko pamoja kwenye safari hii.
   

13 thoughts on “KUWA TAJIRI

  1. Nashindwa kuelewa ni kwa nini mtu ana pluralize Assumptions zake za kichovu kwa watanzania wote.
    Judge yourself from your own mirror and dont think about fixing all of us on it cause we will never fit.

    Like

Comments are closed.

%d bloggers like this: