Ili uweze kufanya maamuzi sahihi kwako, unapaswa kuondoa kila aina ya ushawishi wa watu wengine.

Kuna kampeni za makusudi kabisa zinazoendeshwa na wengine ili kukushawishi wewe ufanye maamuzi ya aina fulani.

Maamuzi hayo unayoshawishiwa kufanya yanakuwa na manufaa kwa watu wengine.

Ili ufanikiwe, lazima uweze kufanya maamuzi yako mwenyewe.

Kufanya maamuzi mwenyewe epuka kuathiriwa na kundi, propaganda na itikadi mbalimbali.

Ukurasa wa kusoma umefafanua vizuri jinsi ya kuepuka hayo matatu; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/06/26/2369

#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma