Tano Za Juma Kutoka Kitabu; How To Write Copy That Sells (Hatua Kwa Hatua Za Jinsi Ya Kuandika Nakala Yenye Ushawishi Na Inayouza Zaidi.)

#TANO ZA JUMA #31 2019; Kila Mtu Ni Mwandishi, Jinsi Ya Kuandika Nakala Inayouza Sana, Hatua Sita Za Kuandika Nakala Inayouza, Tengeneza Kipato Kupitia Uandishi Na Ujuzi Uliozalisha Mamilionea Wengi Duniani. Rafiki yangu mpendwa, Ni matumaini yangu kwamba juma namba 31 la mwaka huu 2019 limeanza na kuisha vizuri kwa upande wako. Naamini limekuwa juma... Continue Reading →

Tano Za Juma Kutoka Kitabu; GETTING EVERYTHING YOU CAN OUT OF ALL YO’VE GOT (Njia 21 Za Kufikiri, Kufanya Na Kutengeneza Kipato Kikubwa Kuliko Washindani Wako).

#TANO ZA JUMA #29 2019; Tatizo Hujui Unachotaka, Jinsi Ya Kupata Kila Unachotaka Kwa Kuanzia Hapo Ulipo Sasa, Njia Kumi Za Kupata Mpenyo Wa Mafanikio, Hatua Mbili Za Kuongeza Kipato Chako Na Kitu Kimoja Ambacho Watu Wanahitaji Sana. Rafiki yangu mpendwa, Karibu kwenye TANO ZA JUMA la 29 la mwaka huu 2019. Kwenye juma hili... Continue Reading →

#TANO ZA JUMA #28 2019; Dunia Inataka Kukusikia, Jinsi Ya Kutengeneza Ubobezi Utakaokunufaisha, Hatua Sita Za Kufikia Ubobezi, Usiogope Kuwaambia Watu Wakulipe Na Njia Pekee Ya Kujihakikisha Usalama Kwenye Kazi Au Biashara Yako.

Rafiki yangu mpendwa, Juma namba 28 la mwaka huu 2019 linatuacha, hatutakuwa na muda kama huu tena kwenye maisha yetu. Lakini yale tuliyojifunza na kufanya kwenye juma hili yatabaki na sisi milele kwenye maisha yetu. Kumbuka kila unachofanya au kutokufanya kwenye maisha yako kinaacha alama fulani kwako. Hivyo tumia vizuri sana muda wako kwa kuweka... Continue Reading →

Tano Za Juma Kutoka Kitabu; The Miracle Morning, Siri Za Kuwa Na Mafanikio Makubwa Kwenye Maisha Kwa Kutawala Asubuhi Yako.

#TANO ZA JUMA #27 2019; Unayapoteza Maisha Yako, Mambo Sita Ya Kufanya Kila Asubuhi Ili Kufanikiwa, Hatua Tatu Za Kuondoka Kwenye Umasikini, Tatizo Lako La Kifedha Ni Tatizo La Kitabia Na Hatua Ya Kwanza Kuchukua Ili Kubadili Maisha Yako. Rafiki yangu mpendwa, Hongera sana kwa juma hili la 26 ambalo tumekuwa nalo na limefika ukingoni.... Continue Reading →

Tano Za Juma Kutoka Vitabu Just Run It Na 101 Crucial Lessons They Don’t Teach You In Business School; Mfumo Bora Wa Kuendesha Biashara Na Siri 101 Za Mafanikio Kwenye Biashara.

#TANO ZA JUMA #26 2019; Asili Ya Biashara Ni Kukua Na Kufa, Jinsi Ya Kuendesha Biashara Yenye Mafanikio, Siri 101 Za Mafanikio Kwenye Biashara Usizofundishwa Shuleni, Kwa Nini Wenye Uelewa Wa Fedha Siyo Wazuri Kwenye Biashara Na Vitu Viwili Vinavyoitofautisha Biashara. Rafiki yangu mpendwa, Tumefika katikati ya mwaka 2019, majuma 26 ya kwanza yameisha, yamebaki... Continue Reading →

Tano Za Juma Kutoka Vitabu Built To Sell Na The Checklist Manifesto (Jinsi Ya Kutengeneza Biashara Unayoweza Kuiuza Na Matumizi Ya Orodha Kupunguza Makosa Kwenye Maamuzi Na Kuchukua Hatua)

#TANO ZA JUMA #25 2019; Kukosea Ni Ubinadamu, Matumizi Ya Orodha Kupunguza Makosa, Hatua Nane Za Kutengeneza Biashara Unayoweza Kuiuza, Matumizi Ya Orodha Kwenye Uwekezaji Na Kwa Nini Nidhamu Ni Ngumu Kujenga. Rafiki yangu mpendwa, Hongera kwa juma namba 25 la mwaka huu 2019 ambalo tunalimaliza. Ni imani yangu limekuwa juma bora sana kwako, juma... Continue Reading →

Tano Za Juma Kutoka Kitabu; Digital Minimalism (Falsafa Bora Ya Matumizi Ya Teknolojia Itakayokuondoa Kwenye Utumwa Na Kukupa Uhuru.)

#TANO ZA JUMA #22 2019; Hujavutiwa Bali Umesukumwa, Falsafa Bora Ya Matumizi Ya Mitandao Ya Kijamii, Jinsi Mitandao Inaharibu Akili Yako, Muda Wako Ni Pesa Kwao Na Gharama Ya Kitu Ni Maisha Unayopoteza. Rafiki yangu mpendwa, Hongera kwa juma hili namba 22 ambalo tumekuwa nalo kwa mwaka huu 2019. Naamini limekuwa juma bora sana kwako,... Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑