Rafiki Yangu,

Kuajiri timu si suluhisho.
Kuwafundisha ndiyo ufunguo.
Bila training ya mauzo,
hata mfanyakazi mzuri atashindwa kufunga deal.

Ataongea na wateja…
lakini atashindwa kuwashawishi.

Ataelezea bidhaa…
lakini hatageuza kuwa pesa.
Na hapo unapoteza mapato kila siku.

Mauzo ni ujuzi unaojifunza, si kipaji cha kuzaliwa nacho.
Unahitaji kuwapa mafunzo sahihi ili wapate matokeo.

Kupitia AMKA CONSULTANTS,
tunatoa training ya mauzo inayowageuza wafanyakazi wako kuwa chanzo cha mapato.

Wahi siti yako hapa 👇

https://wa.link/i7stzv

Karibu.
0756694090