Barua Ya Wazi Kwa Wafanyakazi Wote, Mambo Matatu (03) Muhimu Unayohitaji Kufanya Unapokwenda Kuadhimisha Siku Ya Wafanyakazi Duniani.

Tarehe moja ya mwezi wa tano kila mwaka, ni siku ya kimataifa ya wafanyakazi. Siku hii ina historia kubwa sana kwa wafanyakazi wote, kwa sababu imekuwa ni siku ya kuazimisha harakati mbalimbali zinazofanywa na wafanyakazi ili kuhakikisha mazingira yao ya kazi na maslahi yao yanakuwa mazuri zaidi.  Kazi, kwa mfumo wa kuajiriwa hakikuwa kitu cha... Continue Reading →

Jinsi Ya Kutengeneza Mtandao Wa Ajira, Ili Uweze Kutimiza Mafanikio Yako.

Mtandao wa ajira ni mfumo unakupa fursa wewe kuweza kujuana na watu mbalimbali  wanaofanya kazi tofauti tofauti kutoka sehemu mbalimbali. Kama tunavyofahamu ya kwamba kutafuta ajira katika ulimwengu huu wa uchumi unaokua ni suala gumu sana, hivyo ili kuweza kupunguza ugumu huo inatupasa tuweze kujua mbinu mbalimbali zitakozotufanya kuweza kutengeneza ajira tunazozihitaji kwa urahisi zaidi.... Continue Reading →

UKWELI KUHUSU AJIRA; Mambo Kumi(10) Ya Kweli Ambayo Waajiriwa Hawapendi Kuyasikia.

Jana tarehe 01/05/2016 ilikuwa siku ya wafanyakazi duniani. Wafanyakazi kila kona ya dunia walikuwa wakiadhimisha siku yao na kuonesha michango yao kwenye ukuaji wa uchumi na changamoto zao pia.Kuna mengi ya kujadili kwenye siku hii ya wafanyakazi, kuanzia chimbuko lake na harakati ambazo wafanyakazi wamepitia mpaka kufikia kuanzishwa kwa vyama vya wafanyakazi. Lakini hapa hatutajadili... Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑