Ukiishi Kwa Misingi Hii Mitatu (03) Ya Ustoa, Utakuwa Na Maisha Yenye Furaha, Utulivu Na Mafanikio Makubwa.

Rafiki yangu mpendwa, Maisha yetu yanaandamwa na changamoto nyingi. Kuanzia changamoto za ndani yetu, changamoto za wengine na hata changamoto za mazingira. Watu wengi wanapenda kuwa na maisha bora, maisha yenye utulivu, furaha na mafanikio makubwa. Lakini ni wachache sana wanaofikia hilo. Wengi wamekuwa wanasumbuka na maisha, wakirudia makosa yale yale ambayo yamekuwa yanaleta changamoto... Continue Reading →

Barua Ya Wazi Kwa Wahitimu Wa Elimu Ya Juu Mwaka 2016, Ukweli Ambao Umekuwa Unafichwa Kwa Miaka 20 Iliyopita.

Umefika ule wakati ambapo mwaka wa elimu kwenye elimu ya juu Tanzania unakwisha. Na katika mwisho wa mwaka wa elimu, kuna wanafunzi ambao wanakuwa wamemaliza masomo yao, wamehitimu tayari kwa kwenda kulitumikia taifa. Huu ni wakati wa furaha kubwa kwa wahitimu, ambao wamekuwa kwenye mfumo huu wa elimu kwa kipindi kisichopungua miaka 16, katika kipindi... Continue Reading →

Ndege Wa Angani Hawalimi Ila Wanakula, Kuna Mambo Haya Matano(5) Pia Wanakuzidi Ujanja.

TUPO PAMOJA?Nataka kujua tu kama bado tupo pamoja na kama bado unafanyia kazi yale ambayo unajifunza kila siku kupitia mitandao inayoendeshwa na AMKA CONSULTANTS. Kuna wengi wanayafanyia kazi na wamekuwa wakitoa shuhuda nzuri sana ni jinsi gani maisha yao yamebadilika. Bado wewe hujatuambia ni jinsi gani maisha yako yanabadilika kwa kutekeleza haya ambayo unajifunza. Tafadhali... Continue Reading →

USHAURI; Ushauri Muhimu Kwa Wanafunzi Waliomaliza Kidato Cha Sita Mwaka 2015.

Kama kuna mtu yeyote unayemfahamu amemaliza kidato cha sita mwaka huu, tafadhali sana mtumie makala hii, ITABADILI MAISHA YAKE. Siku chache zilizopita nilikutana na kijana aliyemaliza kidato cha sita mwaka huu. Tulizungumza mambo machache kuhusiana na shule, mitihani ilikuwaje na hatimaye tukaja kwenye likizo. Kwanza aliniambia hajachaguliwa kwenda kwenye jeshi la kujenge taifa. Mimi nikamuuliza... Continue Reading →

Hii Ni Nafasi Ya Mwisho Kabisa, Usiikose Tena.

Kwanza niwashukuru sana wale wote ambao wameshajiunga na semina ya MAFANIKIO KATIKA BIASHARA  mwaka 2015. Umefanya maamuzi sahihi sana kujiunga na semina hii na utajifunza mambo mazuri ambayo kama utayatumia utaboresha zaidi biashara yako na kufikia mafanikio makubwa. Nimepokea ujumbe kutoka kwa watu wengi jana kusumbuliwa na mtandao hivyo kushindwa kutuma malipo ya ada ya... Continue Reading →

SEMINA YA SIKU 21, Fungua Email Yako Leo.

Heri ya mwaka mpya mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA, mwaka huu ni mwaka muhimu sana kwako kufanya mabadiliko na AMKA CONSULTANTS iko na wewe ili kuhakikisha maisha yako yanakuwa bora kila siku. Kwa wale ambao walipata nafasi ya kujiunga na SEMINA YA SIKU 21 itakayofanyika kwa njia ya mtandao na itakayoanza jumatatu tarehe 05/01/2015, napenda... Continue Reading →

Ushauri Muhimu Kwa Wanafunzi Wa Kidato Cha Nne.

Jumatatu ijayo tarehe 03/11/2014 wanafunzi wa kidato cha nne wanakwenda kuanza mitihani yao ya kuhitimu kidato cha nne. Hii ni hatua muhimu sana kwenye maisha yao kwani ndio itapelekea ndoto zao nyingine kuwa kweli. Kama mwananfunzi ana ndoto ya kuwa injinia, rubani, daktari au mwalimu, mitihani hii ni muhimu kwake kufaulu ili kuweza kuendelea na... Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑