Hivi Ndivyo Unavyoweza Kusoma Vitabu Zaidi Ya 50 Kwa Mwaka Hata Kama Huna Muda Au Fedha Za Kununua Vitabu Vingi.

Rafiki yangu mpendwa, Mafanikio yoyote ambayo nimewahi kuyapata kwenye maisha yangu, kuna kitu kimoja ambacho siwezi kuacha kukishukuru. Kitu hicho ni usomaji wa vitabu. Hii ni tabia ambayo imejengeka ndani yangu tangu kipindi nikiwa shuleni. Nakumbuka wakati wanafunzi wengine walikuwa wakipenda kusoma notsi zilizoandaliwa na walimu na watu wengine, mimi nilikuwa nasoma vitabu na kuandaa... Continue Reading →

Karibu Kwenye Channel Ya Tano Za Majuma 52 Ya Mwaka (Pata Vitabu 52 Vya Kusoma Mwaka Mzima Pamoja Na Chambuzi Zake).

Rafiki yangu mpendwa, Ninayo furaha kukufahamisha ya kwamba, baada ya kutafakari kwa kina ili kupata njia bora kabisa ya kukushirikisha maarifa mengi ninayoyapata kwenye usomaji wa vitabu, nimepata wazo la kuwa na channel maalumu kwenye mtandao wa TELEGRAM ambayo inaitwa TANO ZA MAJUMA 52 YA MWAKA. Hii ni channel maalumu ya kitabu cha TANO ZA... Continue Reading →

Vitu Viwili Unavyopaswa Kujitoa Navyo Ili Kunufaika Na Maarifa Mengi Ninayokushirikisha Kila Siku.

Rafiki yangu mpendwa, Nimekuwa naweka muda na nguvu kubwa katika kutoa mafunzo ambayo yatatuwezesha kupiga hatua kubwa sana kwenye maisha yetu. Kwa sababu naamini kwenye kanuni hii muhimu sana; MAARIFA SAHIHI + KUCHUKUA HATUA KUBWA = MAFANIKIO MAKUBWA. Kama hutaanza na maarifa sahihi, hatua zozote unazochukua zitazidi kukupoteza. Na kama utakuwa na maarifa sahihi lakini... Continue Reading →

Tabia Ndogo Ndogo 18 Za Kuishi Kila Siku Ili Uwe Na Furaha Ya Kudumu Kwenye Maisha Yako.

Rafiki yangu mpendwa, Furaha imekuwa mtego kwenye maisha ya watu wengi. Wengi huanza kufanya kitu fulani kwenye maisha yao, wakifikiri kwamba watakapomaliza kukifanya, au watakapopata wanachotaka basi watakuwa na furaha sana. Lakini cha kushangaza pale mtu anapomaliza au anapopata anachotaka, anapata furaha inayodumu kwa muda mfupi sana. Na baada ya hapo anarudi kwenye hali yake... Continue Reading →

Leo Ndiyo Siku Ya Mwisho Kabisa Ya Wewe Kupata Zawadi Hii Bora Niliyokupa Kwa Mwaka 2019, Chukua Hatua Sasa.

Rafiki yangu mpendwa, Katika kuuanza mwaka mpya 2019 kwa mafanikio makubwa kwako, nimekupa zawadi ya vitabu nane ambavyo nimeandika. Zawadi hii ni kifurushi cha HEKIMA kwako kuweza kwenda sambamba na maneno matatu yanayotuongoza mwaka huu 2019 ambayo ni AFYA, UTAJIRI NA HEKIMA. Nachukua nafasi hii kukukumbusha kwamba mwisho wa zawadi hii ni leo tarehe 31/01/2019,... Continue Reading →

Zimebaki Siku Mbili (2) Pekee Kwa Wewe Kupata Zawadi Hii Ya Kipekee Sana Kwako Kwa Mwaka Huu 2019, Chukua Hatua Sasa.

Rafiki yangu mpendwa, Katika kuuanza mwaka mpya 2019 kwa mafanikio makubwa kwako, nimekupa zawadi ya vitabu nane ambavyo nimeandika. Zawadi hii ni kifurushi cha HEKIMA kwako kuweza kwenda sambamba na maneno matatu yanayotuongoza mwaka huu 2019 ambayo ni AFYA, UTAJIRI NA HEKIMA. Nachukua nafasi hii kukukumbusha kwamba mwisho wa zawadi hii ni tarehe 31/01/2019, hivyo... Continue Reading →

Hii Ndiyo Siku Ya Mwisho Kabisa Kupata Nafasi Ya Kushiriki Semina Ya TABIA ZA KITAJIRI, Soma Hapa Na Uchukue Hatua.

Rafiki yangu mpendwa, Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa nimekuwa nakupa taarifa za semina ya kuuanza mwaka 2019. Semina hiyo inakwenda kwa jina la TABIA ZA KITAJIRI. Ndani ya semina hii tunakwenda kujifunza tabia kumi za kuishi kila siku ambazo ukizielewa na kuzifanyia kazi basi utaweza kutengeneza utajiri na mafanikio makubwa kwenye maisha yako. Semina... Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑