Mambo Kumi (10) Ya Kufanya Mwezi Disemba Ili Mwezi Januari Uwe Wa Mafanikio Makubwa Sana Kwako.

Rafiki yangu mpendwa, Mwezi disemba na mwezi januari ni miezi miwili ambayo watu wengi wamekuwa wanaipoteza kwenye maisha yao. Wengi wanaupoteza mwezi disemba kwa kupunguza kasi ya mapambano, kwa kuwa mwaka unakuwa umefika ukingoni, wengi huona hakuna kikubwa wanachoweza kufanya hivyo wanasubiri mwaka mpya uanze. Na mwezi januari huwa unapotea kwa sababu wengi huweka malengo... Continue Reading →

Hivi Ndivyo Elfu Moja Kila Siku Kwa Siku 20 Inavyoweza Kuyabadili Maisha Yako Na Kukufikisha Kwenye Utajiri.

Rafiki yangu mpendwa, Salamu zangu za mafanikio zikufikie popote pale ulipo sasa, wakati unaendelea na mapambano ya kuyaboresha maisha yako na kufikia mafanikio makubwa. Kumbuka nipo na wewe kwenye safari hii, kila wakati nikikushirikisha maarifa bora sana kwako ili uweze kufika kule unakotaka. Kwa sababu kama ambavyo nimekuwa nakusisitizia, hakuna kinachoweza kukuzuia kufanikiwa ila wewe... Continue Reading →

SEMINA; TABIA ZA KITAJIRI; Ahadi Kumi Za Kuishi Kila Siku Ili Kufikia Utajiri Na Mafanikio Makubwa Kwenye Maisha.

Rafiki yangu mpendwa, Ninayo furaha kubwa sana kukupa taarifa muhimu sana za semina yetu kubwa ya kwenda kuuanza mwaka 2019. Ni semina ambayo itakuwa na maarifa yatakayoleta ukombozi mkubwa sana kwenye maisha yako. Kwani semina hii inakwenda kugusa eneo muhimu sana kwenye maisha yako, eneo ambalo linagusa kila sehemu ya maisha yako ukiacha tu hewa... Continue Reading →

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutumia Majuto Kama Kipimo Cha Kufanya Maamuzi Bora Kwenye Maisha Yako.

Rafiki yangu mpendwa, Kitu kinachojenga au kubomoa maisha yetu, kinachofanya tufanikiwe au kushindwa, ni maamuzi ambayo tunayafanya kwenye maisha yetu. Kila siku tunafanya au kuepuka kufanya maamuzi fulani, na hayo ndiyo yametufikisha pale tulipo sasa. Hapo ulipo leo ni matokeo ya maamuzi ambayo ulifanya au kutokufanya siku zilizopita. Kwa mfano kama hapo ulipo una kipato... Continue Reading →

Kwanini Ndoa Ni Biashara

Mambo mengi yapo katika mfumo wa biashara hivyo vitu vingi ni biashara katika dunia hii ya leo, siasa, dini, shule nk ni biashara kama biashara nyingine. Asili ya ndoa ni upweke, kadiri ya maandiko siyo vema mtu huyu abaki peke yake. Kwa dhana hiyo tunaona kuwa neno siyo ndiyo limebeba ujumbe wa upweke. Ndiyo maana... Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑