Salamu Za Likizo Kutoka Kwa Kocha Dr Makirita Amani Na Mambo Matatu Muhimu Sana Kwako Kufanyia Kazi Leo.

Habari rafiki yangu mpendwa, Napenda kuchukua nafasi hii ya kipekee sana kukufikishia salamu za likizo yangu niliyokuwa nayo tangu tarehe 21/12/2018 mpaka tarehe 27/12/2018. Imekuwa ni likizo bora sana kwangu na mengi niliyopanga kufanya nimefanikiwa kuyakamilisha, isipokuwa kwa machache ambayo muda haukuweza kutosha kuyatekeleza. Likizo hii imekuwa ni siku saba za kupata nafasi ya kuwa... Continue Reading →

Ishi Kwa Tabia Hizi Kumi (10) Kila Siku Ya Maisha Yako Na Utaweza Kupata Mafanikio Makubwa Sana Kwenye Maisha Yako.

Rafiki yangu mpendwa, Mtu mmoja amewahi kusema kwamba huwa tunajenga tabia, kisha tabia zinatujenga. Na hili ni kweli kabisa. Mwanzoni wakati tunajifunza tabia yoyote ile, iwe nzuri au mbaya huwa tunaweka kazi hasa. Lakini baadaye ikishakuwa tabia tunajikuta tunafanya bila hata ya kufikiri. Maisha yetu yapo pale yalipo sasa kutokana na tabia ambazo tumejijengea siku... Continue Reading →

Vigezo Vitano (05) Unavyopaswa Kuvitumia Wakati Unaweka Malengo Ili Uweze Kuyafikia.

Habari rafiki yangu mpendwa, Wapo watu ambao wamekuwa wanayaendesha maisha yako kama saa ya mshale ambayo imeharibika. Kwa nje mishale inaweza kuonekana kama inafanya kazi, lakini kwa hakika imesimama. Wapo watu ambao kila mwanzo wa mwaka huwa wanaweka malengo makubwa, malengo yanayowahamasisha sana na kuwafanya waone wanaweza kufanya makubwa kwenye maisha yao. Lakini siku chache... Continue Reading →

Njia Za Kutafuta Utajiri Ambazo Umekuwa Unatumia Unakosea, Hii Hapa Ndiyo Njia Ya Uhakika Ya Kukufikisha Kwenye Utajiri Mkubwa.

Rafiki yangu mpendwa, Kwenye kitabu cha THE RICHEST MAN IN BABYLON (kitabu ambacho nimekuwa nashauri kila mtu akisome, na sasa kuna tafsiri yake ya kiswahili, hivyo hakikisha umekisoma), ipo hadithi moja yenye funzo kubwa sana kuhusu fedha na utajiri. Hadithi inakwenda kwamba Arkard, aliyekuwa mtu tajiri kuliko wote Babeli alikuwa na kijana aliyeitwa Nomasir. Kwa... Continue Reading →

Mambo Kumi (10) Ya Kufanya Mwezi Disemba Ili Mwezi Januari Uwe Wa Mafanikio Makubwa Sana Kwako.

Rafiki yangu mpendwa, Mwezi disemba na mwezi januari ni miezi miwili ambayo watu wengi wamekuwa wanaipoteza kwenye maisha yao. Wengi wanaupoteza mwezi disemba kwa kupunguza kasi ya mapambano, kwa kuwa mwaka unakuwa umefika ukingoni, wengi huona hakuna kikubwa wanachoweza kufanya hivyo wanasubiri mwaka mpya uanze. Na mwezi januari huwa unapotea kwa sababu wengi huweka malengo... Continue Reading →

Hivi Ndivyo Elfu Moja Kila Siku Kwa Siku 20 Inavyoweza Kuyabadili Maisha Yako Na Kukufikisha Kwenye Utajiri.

Rafiki yangu mpendwa, Salamu zangu za mafanikio zikufikie popote pale ulipo sasa, wakati unaendelea na mapambano ya kuyaboresha maisha yako na kufikia mafanikio makubwa. Kumbuka nipo na wewe kwenye safari hii, kila wakati nikikushirikisha maarifa bora sana kwako ili uweze kufika kule unakotaka. Kwa sababu kama ambavyo nimekuwa nakusisitizia, hakuna kinachoweza kukuzuia kufanikiwa ila wewe... Continue Reading →

SEMINA; TABIA ZA KITAJIRI; Ahadi Kumi Za Kuishi Kila Siku Ili Kufikia Utajiri Na Mafanikio Makubwa Kwenye Maisha.

Rafiki yangu mpendwa, Ninayo furaha kubwa sana kukupa taarifa muhimu sana za semina yetu kubwa ya kwenda kuuanza mwaka 2019. Ni semina ambayo itakuwa na maarifa yatakayoleta ukombozi mkubwa sana kwenye maisha yako. Kwani semina hii inakwenda kugusa eneo muhimu sana kwenye maisha yako, eneo ambalo linagusa kila sehemu ya maisha yako ukiacha tu hewa... Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑