Hivi Ndivyo Elimu Ya Msingi Ya Fedha Ilivyobadili Maisha Ya Wengi, Na Inavyoweza Kubadili Maisha Yako Pia.

Rafiki yangu mpendwa, Kabla ya kuweka mafunzo ya ELIMU YA MSINGI YA FEDHA kwenye kitabu ambacho kinapatikana sasa, mafunzo haya yaliendeshwa kama semina mwaka 2017. Yalikuwa mafunzo bora sana ambayo kila aliyeshiriki aliweza kutoa ushuhuda wake ni kwa namba gani mafunzo hayo yamemfungua na kumpa hatua sahihi za kuchukua. Ni kutokana na maoni na shuhuda... Continue Reading →

Vitabu 50 Unavyopaswa Kuvisoma Kabla Mwaka Huu 2019 Haujaisha Kama Unataka Mafanikio Makubwa.

Rafiki yangu mpendwa, Maarifa yote mazuri ambayo yanaweza kukutoa hapo ulipo sasa na kukufikisha kule unakotaka kufika yapo kwenye vitabu. Majibu ya changamoto zote unazopitia sasa, ambazo zinakukwamisha sana, yapo kwenye vitabu. Na kitu kipekee kinachokuzuia wewe usiwe na yale maisha unayotaka kuwa nayo, ni maarifa ambayo umeyakosa. Mwandishi Charlie Tremendous Jones amewahi kunukuliwa akisema;... Continue Reading →

Haya Ndiyo Mambo Matano Muhimu Ya Kujifunza Kila Juma Kwa Mwaka Mzima Ili Ufanikiwe Sana.

Rafiki yangu mpendwa, Aliyekuwa mwandishi na mhamasishaji maarufu Jim Rhon amewahi kunukuliwa akisema, mafanikio huwa yanaacha alama, kama utafanya kile ambacho waliofanikiwa wanafanya, na wewe lazima ufanikiwe. Huu ni ukweli usiopingika kwamba mafanikio huwa yanaacha alama, mafanikio siyo siri, mafanikio yapo wazi kabisa kama tutakuwa tayari kujifunza kupitia wale waliofanikiwa na kupiga hatua zaidi. Lakini... Continue Reading →

TAARIFA MUHIMU; Vitabu Vipya Viwili Vimetoka, Elimu Ya Fedha Na Tano Za Juma. Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuvipata.

Habari za leo rafiki yangu mpendwa? Nianze kwa kukushukuru sana kwa kipindi chote ambacho tumekuwa pamoja kupitia kazi hii ya uandishi na ukocha ninayofanya. Hiki ninachofanya ndiyo kusudi kuu la maisha yangu, na bila ya uwepo wako wewe rafiki yangu, kusudi hili haliwezi kukamilika. Hivyo najivunia kusema ninapenda na kufurahia sana hiki ninachofanya, kwa sababu... Continue Reading →

KITABU CHA MAY 2018; Siri 177 Za Watu Wenye Mafanikio Makubwa Zaidi.

Rafiki, Karibu kwenye utaratibu wetu wa kujisomea vitabu ambapo kila mwezi nimekuwa nakushirikisha kitabu kizuri kwako kujisomea ili kuweza kujifunza na kupiga hatua kwenye maisha yako. Kila mwezi nimekuwa nakushirikisha kitabu cha kusoma, ambacho maarifa yake yanakupa mbuni ha hamasa ya kufanikiwa zaidi kwenye chochote unachofanya. Pia nimekuwa nakupa njia bora ya kuweza kuhakikisha unamaliza... Continue Reading →

KITABU CHA APRIL 2018; What winners do to win (wanachofanya washindi kinachowapelekea kushinda).

Rafiki, Kazi yangu kubwa ni moja, kuhakikisha wewe unapata maarifa sahihi yatakayokuwezesha ufanye maamuzi sahihi na maisha yako yawe bora kabisa. Hii siyo kazi rahisi hasa kwa zama hizi za taarifa, ambapo kuna kelele nyingi mno na zote zinakusubiri wewe. Wakati unasoma hapa huenda unafikiria kuangalia wasap na kusoma jumbe mbalimbali, unafikiria kuingia instagram ujue... Continue Reading →

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutafiti, Kuandika Na Kuuza Kitabu Bora Kabisa Ndani Ya Mwaka Mmoja. (Hatua Sita Muhimu Kwa Kila Anayetaka Kuandika Kitabu Kuzijua).

Huwa ninaamini kwamba, kila mmoja wetu ana kitabu ndani yake. Wewe hapo ulipo ni kitabu kinachotembea. Tangu kuzaliwa na kupata utambuzi mpaka hapo ulipo sasa, kuna mambo mengi sana ambayo umekutana nayo kwenye maisha, ambayo siyo kila mtu ameweza kukutana nayo. Lakini pia, hutaishi milele hapa duniani, hivyo yale uliyojifunza kwenye maisha, yanaweza kupotea haraka... Continue Reading →

Kitabu Cha Disemba 2017; Think And Grow Rich.

Habari za leo rafiki yangu? Karibu tena kwenye utaratibu wetu wa kitabu cha mwezi, ambapo kila mwezi nimekuwa napendekeza kitabu kimoja kwa marafiki zangu kukisoma, ambacho kitawasaidia kupiga hatua kwenye maisha yao na kufanikiwa zaidi. Kumekuwa na dhana kwamba watu wengi hasa sisi waafrika siyo wasomaji wa vitabu. Ipo mpaka misemo kwamba ukitaka kumficha mwafrika... Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑