Kitabu; Kwa Nini Mpaka Sasa Wewe Sio Tajiri.

  Waswahili wanasema huwezi kutatua tatizo usilolijua. Baada ya kufuatilia kwa kina sana kuhusiana na jitihada za watu kuondoka kwenye umasikini na kuwa matajiri nimegundua kwamba wengi wetu tunajaribu kutatua tatizo tusilolijua.   Unapojaribu kutatua tatizo usilolijua huishii tu kushindwa kutatua tatizo hilo bali unazidi kuwa kwenye hali mbaya zaidi kwa kukosa suluhisho na kuendelea... Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑