
Rafiki Yangu,
Timu yako inaweza kuwa na juhudi.
Inaweza kuwa na muda.
Lakini bila training sahihi…
Hakuna matokeo.
Wataongea sana.
Watakutana na wateja.
Lakini hawatafunga mauzo.
Na hapo ndipo pesa inapopotea.
Ukweli ni huu…
mauzo hayaongezeki kwa bahati.
Yanaongezeka kwa ujuzi.
Bila training,
timu yako itabaki pale pale.
Unahitaji kuwapa mbinu zinazofanya kazi sasa.
Kupitia AMKA CONSULTANTS,
tunatoa training inayobadilisha juhudi kuwa pesa.
Karibu.
0756694090