
*Rafiki Yangu,
Wanafanya mazungumzo mengi kila siku.
Wanajitahidi kuelezea bidhaa.Wanajibu maswali ya wateja.
Lakini mwisho wa siku…hakuna mauzo ya kutosha.
Kwa nini?Kwa sababu kuongea si kuuza.Bila training sahihi,wanapoteza wateja waliokuwa tayari kununua.
Na hapo unapoteza pesa kila siku bila kujua.
Mauzo ni ujuzi unaofundishwa.Ukifundisha timu yako vizuri,utabadilisha mazungumzo kuwa mapato.
Kupitia AMKA CONSULTANTS,tunatoa training inayowageuza kuwa wauzaji bora.
Ni hapa 👇
Karibu.
*0756694090*