#TANO ZA JUMA #3 2019; Ung’ang’anizi, Klabu Ya Saa Kumi Na Moja Alfajiri, Nguvu Ya Uungu Iliyopo Ndani Yako, Fedha Kama Wazo Na Umuhimu Wa Ndoto Kubwa.

Rafiki yangu mpendwa, Karibu kwenye TANO ZA JUMA la tatu la mwaka huu 2019. Hapa nimekukusanyia yale matano muhimu sana ya kukupa maarifa na hamasa ya kuchukua hatua ili kuweze kufikia malengo yako makubwa. Kwenye tano za juma hili la tatu nimekuandalia neno muhimu sana kwa mafanikio ambalo unapaswa kuliishi kila siku, nimekushirikisha uchambuzi wa... Continue Reading →

#TANO ZA JUMA #2 2019; Tabia, Ufunguo Mkuu Wa Mafanikio, Maneno Matatu Ya 2019, Tengeneza Gereza La Akiba Na Sifa Ya Washindi.

Mwanamafanikio, Juma la pili kwa mwaka wetu mpya 2019 limeshatuacha, na kwa maana hii upya wa mwaka ndiyo unazidi kupotea. Na pia wengi ambao waliweka malengo makubwa kwa mwaka huu, wameshaanza kurudi kwenye maisha ya mazoea kabla hata hawajayajaribu malengo waliyojiwekea. Tafadhali wewe usiwe mmoja wao rafiki, komaa na malengo yako kwa mwaka huu mpaka... Continue Reading →

#TANO ZA JUMA #01 2019; Salamu Za Mwaka Mpya 2019, Sayansi Ya Kupata Utajiri, Mambo 19 Ya Kufanikiwa 2019, Mbinu Ya Kuongeza Kipato 2019 Na Kauli Ya Kuanza 2019 Kama 2018 Hukufikia Malengo Uliyojiwekea.

Habari za leo rafiki yangu? Karibu kwenye tano za juma la kwanza kabisa kwa mwaka wetu huu mpya kabisa wa 2019. Mwaka huu ni mpya na mchanga kwetu, tuna majuma 51 mbele yetu ambayo ni sisi wenyewe tunaochagua tunayatumiaje majuma haya kupiga hatua. Karibu kwenye #TANO ZA JUMA, ambapo kwa kuuanza mwaka huu 2019 nimekuandalia... Continue Reading →

#TANO ZA JUMA #52 2018; Vitabu 45 Vya Tano Za Juma 2018, Makala 5 Zilizosomwa Sana 2018, Mpango Wa Fedha Wa Kuanza Nao 2019 Na Kauli Kuu Ya Kuiishi Mwaka 2019.

Rafiki yangu mpendwa, Tumefika juma la mwisho kabisa la mwaka huu 2018, juma namba 52. Ni jambo kubwa na la kushukuru sana kwa sababu kuna wengi walioweka mipango mingi na mizuri kwa mwaka huu 2018, lakini sasa hatupo nao tena. Hivyo hata kama uliweka malengo makubwa na hujaweza kuyafikia, kwanza shukuru kwa kuendelea kuwa hai,... Continue Reading →

#TANO ZA JUMA #50 2018; Tabia 33 Za Wajasiriamali Wenye Mafanikio, Imani 10 Potofu Zinazokuzuia Usiwe Tajiri, Kanuni Kuu Ya Kuelekea Uhuru Wa Kifedha Na Unafanikiwa Kwanza Kabla Ya Kupata Fedha.

Rafiki yangu mpendwa, Juma namba 50 la mwaka huu 2018 siyo rafiki yetu tena, tayari linatuacha, huku pia mwaka 2018 ukiwa unatuaga kabisa. Ni imani yangu juma namba 50 limekuwa bora sana kwako, limekuwa juma la kuchukua hatua kubwa na kuweza kupata matokeo bora au kujifunza. Kumbuka kwenye safari ya mafanikio unashindwa pale tu unapokata... Continue Reading →

#TANO ZA JUMA #49 2018; Jinsi Ya Kuvuta Chochote Unachotaka, Hatua 7 Za Kutengeneza Mtazamo Wa Mafanikio, Jinsi Ya Kuvuta Fedha Ije Kwako Na Kinachotokea Sasa Ni Matokeo.

Hongera sana rafiki yangu kwa juma hili la 49 ambalo tumekuwa nalo kwa mwaka huu 2018. Najua ni juma ambalo limekuwa la mafanikio makubwa sana kwako. Kama umekuwa unaiishi misingi ambayo nakushirikisha kila siku kwenye makala mbalimbali, basi juma hili litakuwa limeleta vitu vipya kwako. Tunakwenda kulimaliza juma letu bora, na kujiandaa na juma jingine... Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑