#TANO ZA JUMA #52 2018; Vitabu 45 Vya Tano Za Juma 2018, Makala 5 Zilizosomwa Sana 2018, Mpango Wa Fedha Wa Kuanza Nao 2019 Na Kauli Kuu Ya Kuiishi Mwaka 2019.

Rafiki yangu mpendwa, Tumefika juma la mwisho kabisa la mwaka huu 2018, juma namba 52. Ni jambo kubwa na la kushukuru sana kwa sababu kuna wengi walioweka mipango mingi na mizuri kwa mwaka huu 2018, lakini sasa hatupo nao tena. Hivyo hata kama uliweka malengo makubwa na hujaweza kuyafikia, kwanza shukuru kwa kuendelea kuwa hai,... Continue Reading →

#TANO ZA JUMA #50 2018; Tabia 33 Za Wajasiriamali Wenye Mafanikio, Imani 10 Potofu Zinazokuzuia Usiwe Tajiri, Kanuni Kuu Ya Kuelekea Uhuru Wa Kifedha Na Unafanikiwa Kwanza Kabla Ya Kupata Fedha.

Rafiki yangu mpendwa, Juma namba 50 la mwaka huu 2018 siyo rafiki yetu tena, tayari linatuacha, huku pia mwaka 2018 ukiwa unatuaga kabisa. Ni imani yangu juma namba 50 limekuwa bora sana kwako, limekuwa juma la kuchukua hatua kubwa na kuweza kupata matokeo bora au kujifunza. Kumbuka kwenye safari ya mafanikio unashindwa pale tu unapokata... Continue Reading →

#TANO ZA JUMA #49 2018; Jinsi Ya Kuvuta Chochote Unachotaka, Hatua 7 Za Kutengeneza Mtazamo Wa Mafanikio, Jinsi Ya Kuvuta Fedha Ije Kwako Na Kinachotokea Sasa Ni Matokeo.

Hongera sana rafiki yangu kwa juma hili la 49 ambalo tumekuwa nalo kwa mwaka huu 2018. Najua ni juma ambalo limekuwa la mafanikio makubwa sana kwako. Kama umekuwa unaiishi misingi ambayo nakushirikisha kila siku kwenye makala mbalimbali, basi juma hili litakuwa limeleta vitu vipya kwako. Tunakwenda kulimaliza juma letu bora, na kujiandaa na juma jingine... Continue Reading →

#TANO ZA JUMA #48 2018; Sanaa Ya Kupata Fedha, Ishinde Tabia Ya Kuahirisha, Kuwashwa Na Pesa Na Siku Inayokuridhisha.

Hongera sana rafiki yangu mpendwa kwa kulimaliza juma namba 48 la mwaka huu 2018. Naamini lilikuwa juma bora sana kwako, kwa hatua ulizoweza kupiga na matokeo uliyoyapata. Kila matokeo uliyopata ni muhimu sana kwako, matokeo mazuri yanakusogeza mbele na matokeo mabaya yanakupa funzo. Hivyo usinung’unike wala kukata tamaa kwa matokeo yoyote uliyopata, bali yatumie kupiga... Continue Reading →

#TANO ZA JUMA #47 2018; Mawazo 151 Ya Kuongeza Mauzo, Tumia Majuto Kufanya Maamuzi Sahihi, Pesa Siyo Makaratasi Na Amini Kwenye Uzuri Wa Ndoto Zako.

Rafiki yangu mpendwa, Juma namba 47 la mwaka 2018 linakwenda kuachana na sisi, masaa 168 tuliyoyaanza mwanzoni mwa juma hili, yanakwenda kumalizika. Lakini wakati muda huu unatuacha, hatupaswi kubaki watupu, hatupaswi kuwa kama tulivyolianza juma hili. Kama tutaruhusu hilo litokee, tutakuwa tumechagua kupoteza juma letu zima. Kila juma tunapaswa kujifunza vitu vipya ambavyo hatukuwa tunavifahamu... Continue Reading →

#TANO ZA JUMA #46 2018; Sheria Kumi Za Juu Za Mafanikio Kibiashara, Kanuni Ya Mpenyo Wa Mafanikio, Pesa Ipo Kila Mahali Na Imalize Siku Yako Hivi.

Rafiki yangu mpendwa, juma namba 46 kwa mwaka huu 2018 ndiyo linaagana na sisi. Ni juma ambalo lilikuwa bora sana kwetu na imani yangu ni kwamba umeweza kufanya makubwa sana kwenye juma hili. Hata kama hujayaona matokeo makubwa, wewe usijali, endelea kufanya makubwa, matokeo yanajikusanya na siku moja yataanza kuanguka kama mvua na watu watasema... Continue Reading →

#TANO ZA JUMA #45 2018; Barua Kutoka Gerezani Kuhusu Maisha Na Mafanikio, Mteja Muhimu Ambaye Hupaswi Kumpoteza, Fedha Ni Zao La Hamasa Na Ijue Thamani Ya Muda.

Rafiki yangu mpendwa, Juma jingine la mwaka huu 2018 linaelekea kutuacha, ni juma namba 45, juma ambalo nina hakika limekuwa bora sana kwako, kwa sababu umejifunza, umechukua hatua na umepata matokeo ambayo yamekufundisha zaidi au kukupa hamasa zaidi. Kumbuka kwenye maisha hakuna kushindwa mpaka pale unapoamua kukata tamaa mwenyewe. Haijalishi umekutana na magumu kiasi gani,... Continue Reading →

#TANO ZA JUMA #44 2018; Matukio Ya SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2018, Mwaka Mpya Wa Mafanikio, Thamani Inayozidi Fedha Na Maisha, Kazi Na Kifo.

Rafiki yangu mpendwa, Juma namba 44 kwa mwaka huu 2018 ndiyo linatuacha. Ni juma ambalo kwangu binafsi nimekuwa na majumu mengi sana, lakini nashukuru sana maana yote yamekamilika kwa mafanikio makubwa sana. Jana tulikuwa na SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2018 ambayo ilianza saa moja asubuhi mpaka saa mbili usiku na leo nilikuwa na vikao... Continue Reading →

#TANO ZA JUMA #43 2018; Misingi Mikuu Minne Ya Uwekezaji, Njia Ya Uhakika Ya Kuwashawishi Wateja Kununua, Kanuni Ya Munger Ya Kufikia Utajiri Na Kinachokuzuia Ni Kile Unachokikimbia.

Rafiki yangu mpendwa, Juma jingine la mwaka huu 2018 linakwenda chini leo, na juma jingine linakwenda kuibuka. Majuma yataendelea kukatika hivi kila siku, na wewe ni labda utakuwa unaenda mbele au unarudi nyuma. Kumbuka kwenye maisha hakuna kusimama, hata kama unajiona umesimama, jua ya kwamba unarudi nyuma. Kama huendi mbele basi unarudi nyuma. Kwa sababu... Continue Reading →

#TANO ZA JUMA #42 2018; Njia 52 Za Kuwa Na Maisha Mazuri, Changamoto 10 Tutakazotatua Kwenye Semina, Usikubali Kupoteza Fedha Kukuvuruge Na Ushindi Mkubwa Kwenye Dunia Tunayoishi Sasa.

Rafiki yangu mpendwa, Karibu sana kwenye TANO ZA JUMA, makala ambayo nakukusanyia mambo matano muhimu sana kwako kujifunza na kuchukua hatua ili maisha yako yaweze kuwa bora. Kama ambavyo nimekuwa nakusisitiza, kipimo bora cha muda kwako, kwa upande wa mafanikio ni juma, juma moja, lenye siku saba na masaa 168 ni kipimo kizuri sana kwako... Continue Reading →

#TANO ZA JUMA #41 2018; Kanuni Tano Za Mafanikio Makubwa Sana, Pima Afya Yako Kifedha, Wasaidie Wengine Kupata Fedha Zaidi, Jiulize Swali Hili Mara Tatu Kwa Siku.

Rafiki yangu mpendwa, juma namba 41 kwa mwaka huu 2018 hatunalo tena, linaisha kama lilivyoanza. Na kadiri majuma yanavyoisha, ndivyo mwaka unavyokatika na ndivyo siku zetu za kuwa hapa duniani zinavyozidi kupungua. Kwa kuwa tunajua ni kwa jinsi gani muda wetu ulivyo na ukomo hapa duniani, tunapaswa kuweka kipaumbele kikubwa sana kwenye muda wetu. Tusipoteze... Continue Reading →

#TANO ZA JUMA #40 2018; Juma La Ustoa Na Misingi Kumi Ya Maisha Ya Furaha, Hatua Za Kuchukua Pale Unaposhindwa Kwenye Kila Unachofanya, Utajiri Na Falsafa, Na Usifuate Njia, Tengeneza Njia.

Rafiki yangu mpendwa, Juma jingine la mwaka huu 2018 limeshamalizika, ni juma namba 40 na hivyo tumebakiwa na majuma 12 pekee kwenye mwaka huu ambao tuliuanza kitambo siyo kirefu na kupanga makubwa sana kwenye mwaka huu. Ni matumaini yangu kwamba kadiri majuma yanavyokatika, ndivyo na wewe unavyotekeleza mipango uliyojiwekea kwenye mwaka huu. Na kama unalitumia... Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑