
Kila kitu unachokutana nacho kwenye maisha, ni rasilimali muhimu kwako kufika kule unakotaka kufika.
Usikipoteze wala kukitumia vibaya, badala yake kitumie kwa manufaa.
Matumizi mazuri ya kitu ni kujiuliza namna ya kukitumia ili kufika kule unakotaka kufika.
Matumizi mabaya ya kitu ni kulaumu au kulalamika kwa kukutana nacho.
Kila unachokutana nacho kina matumizi, jiulize ni yapi na kisha fanyia kazi.
Ukurasa wa kusoma ni usichezee matirio; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/06/30/2373
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma