Usipojipanga kwenye maisha yako, wengine watakupanga kwenye maisha yao.

Na usije ukajichanganya ukadhani watu wanapokupanga kwenye maisha yao wanawajibila kuyanufaisha maisha yao.

Huo ni wajibu wako binafsi, kama utashindwa kuutekeleza, hakuna unayeweza kumlaumu.

Kuwa tayari kuwajibika kama unataka manufaa makubwa kwenye maisha yako.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita