Njia ya wengi huwa inaridhisha kufuata, lakini haijawahi kuwa njia sahihi na rahisi.

Kuisikiliza nafsi yako mwenyewe ni rahisi na sahihi zaidi.

Acha kufuata mkumbo na jisikilize mwenyewe, utaweza kufanya makubwa na kuridhika zaidi kuliko njia nyingine yoyote.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita