Mafanikio yana pande mbili; KIPAJI na KAZI.
Kipaji unazaliwa nacho na huwezi kubadili.
Kazi ni kitu unachojenga mwenyewe na unaweza kubadili.
Haijalishi kama una kipaji au la, ukiweka kazi kubwa, mafanikio ni uhakika.
Weka juhudi kubwa upande wa kazi na utaweza kupata mafanikio makubwa unayoyataka.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita