Ukijifunza kukaza,
Utaweza kufanya makubwa sana.
Kushindwa huwa kunaanza na kulegeza msimamo.
Unapanga kabisa nini utafanya, lakini wakati wa kufanya unatafuta sababu za kuacha.
Ukisharuhusu sababu kuingilia ufanyaji wako, huwezi kufanya kwa ukubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita