Ni pale unapoona umeshamaliza kila kitu ndiyo unagundua hakuna hata ulichofanya.

Unapojiona umesharidhika na hatua uliyofikia ndiyo unaanguka kabisa.

Popote unapokuwa umefika, kuna hatua kubwa zaidi za kuendelea kupiga.

Kuridhika haraka ni adui mkubwa wa mafanikio makubwa.

Mara zote baki na njaa ya mafanikio na yapambanie mafanikio makubwa bila kuridhika.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita