
Mpendwa Rafiki,
Kwa kuanza na Kudhibiti matumizi yako na kuokoa fedha ambazo umekuwa unapoteza, utaweza kupiga hatua kubwa kifedha.
Kwani ukiweza kuhamisha fedha hizo ambazo umekuwa unapoteza na kuzipeleka kwenye maeneo ambapo zinazalisha, utanufaika Zaidi.
Kuokoa fedha ni mahali muhimu pa kuanzia kabla ya hatua nyingine zozote kwasababu usipodhibiti upotevu, Vingine vyote haviwezi kufanya kazi.
Hata uongeze Kipato kwa ukubwa kiasi gani, kama huwezi kudhibiti matumizi, utaishia kupoteza chote ulichoongeza.
Kwahiyo ukiweza kuisoma sura ya Kwanza ya Kitabu hiki Kipya Cha NGUVU YA BUKU,
Leo basi utaweza kujifunza kwa vitendo mbinu Zote Zitakazokusaidia uokoe buku kila siku. Na hivyo utaweza kudhibiti matumizi yako.
Kukipata Anzia Hapa
👇