
Rafiki Yangu,
Unaamka na mipango mikubwa.
Una ahadi zako binafsi.
Una malengo unayotaka kuyafikia.
Lakini jioni inafika… na unajikuta mambo muhimu hujayakamilika.
Sio kwa sababu wewe ni mvivu.
Sio kwa sababu huna uwezo.
Na sio kwa sababu huna muda.
Tatizo ni moja tu… huna mfumo sahihi.
Kila siku inayopita bila mkakati wa wazi, unapoteza vitu vitatu muhimu sana…
Muda.
Pesa.
Na fursa.
Na ukweli mchungu ni huu…
Maisha hayaharibiki kwa tukio moja kubwa.
Yanaharibika kwa kupoteza siku ndogo ndogo kila siku.
Watu wengi hujidanganya wakisema, Nikipata muda nitafanya.
Lakini ukweli ni kwamba muda hauji wenyewe.
Unatengenezwa.
Watu wanaofanikiwa hawana masaa zaidi ya 24.
Tofauti yao ni moja tu…
Wanajua kuanza siku kwa usahihi.
Ukidhibiti asubuhi yako, umeweka mwelekeo wa siku nzima.
Ukianza vibaya, siku nzima inakutawala.
Ukianza kwa mfumo, wewe ndio unaitawala.
Na hapo ndipo kitabu cha MUDA UPO kinapokuja.
Hiki si kitabu cha motisha ya muda mfupi.
Ni mwongozo wa vitendo wa kukufundisha jinsi ya…
- Kupangilia asubuhi yako kwa nguvu na mwelekeo
- Kutambua vipaumbele vya kweli badala ya kushughulika na visivyo na tija
- Kuongeza ufanisi bila kuongeza presha
- Kumaliza mambo muhimu mapema kabla siku haijakuchosha.
- Kujenga mfumo unaokufanya ushinde kila siku.
Fikiria hili kwa sekunde moja…
Kama ungekuwa na mfumo wa kuanza kila siku kwa umakini,
Je, ungekuwa wapi baada ya miezi 6?
Baada ya mwaka mmoja?
Mabadiliko makubwa hayaji kwa kuruka.
Yanakuja kwa kushinda siku moja baada ya nyingine.
Na ninakuambia wazi kabisa…
Kuendelea kuishi bila mfumo ni kuahirisha mafanikio yako mwenyewe.
Ni kuendelea kurudia mwaka mmoja mara kumi.
Lakini unaweza kuamua leo kubadilisha hilo.
Na kwa sababu lengo ni kukupa thamani ya ziada,
Ukichukua hatua wiki hii unapata…
- Bonus ya kitabu cha Four Thousand Weeks
- Consultation ya moja kwa moja – bure
- Delivery bure hadi mikononi mwako
Hii sio ofa ya kawaida.
Ni kifurushi kamili cha kubadilisha namna unavyoona na kutumia muda wako.
Hardcopy: Tsh 30,000 tu
Softcopy: Tsh 10,000 tu.
Na kumbuka…
Nafasi ni 13 tu.
Sio kila mtu atapata.
Sio kila mtu atachukua hatua.
Lakini wale wachache watakaoamua leo ndio watakaobadilisha maisha yao.
Miaka ijayo, utaangalia nyuma na kugundua kuwa uamuzi huu mdogo ulikuwa mwanzo wa ushindi mkubwa.
Usingoje mpaka hali ikubane.
Usingoje mpaka ujute muda uliopoteza.
Anza sasa.
Bonyeza hapa 👇
https://wa.link/qb711bj
Karibu.
0756694090.
Ukidhibiti asubuhi yako…
Umeshinda siku nzima.
Na ukishinda siku moja kila siku…
Umeshinda maisha yako.