Mwaka 1979 chuo kikuu cha Harvard kilifanya utafiti kwa wanafuzi wake waliokuwa wanamaliza masomo. Wanafunzi hao waliulizwa kama wana malengo waliyoandika na mpango wa kuyafikia malengo yao.
MAJIBU YALIKUWA HIVI
1. Asilimia 3 walisema wanayo malengo waliyoandika na mpango wa kuyafikia.
2. Asilimia 13 walisema wanayo malengo ila hawajayaandika.
3. Asilimia 84 walisema hawana malengo yoyote kwa wakati huo.
Utafiti huo ulirudiwa baada ya miaka kumi kwa kuwafuata wanafunzi wale wale waliofanyiwa utafiti wa kwanza. Majibu yalikuwa hivi ASILIMIA 3 WALIOKUWA NA MALENGO WALIYOANDIKA WALIKUWA WAMEFANIKIWA MARA 10 YA WALE ASILIMIA 97 AMBAO HAWAKUANDIKA MALENGO AMA HAWAKUWA NAYO.
Kuna umuhimu mkubwa sana wa kuweka malengo na kujua njia nzuri ya kuyapanga na kuyafikia. Fika jumamosi hii kwenye semina kubwa ya kubadili maisha yako ujifunze namna bora ya kuweka na kufikia malengo makubwa. Kwa maelezo zaidi bonyeza link hii http://bit.ly/1abyNgD
WANASEMA NAMBA KAMWE HAZIDANGANYI, ANGALIA NAMBA HIZI.