Pambana mpaka dakika ya mwisho.
Haya mapambano sio rahisi…
Ila usipokata tamaaa, ni lazima utashinda.
Kila la kheri.