The difference in winning & losing is most often, not quitting. -Walt Disney

Tofauti ya kushinda na kushindwa ni kutokukata tamaaa.

Usipokata tamaa ni lazima utashinda, lazima utafanikiwa. Lakini ukikata tamaa, una uhakika kwamba huwezi kufika mbali. Kila jambo utakalojaribu kufanya lina changamoto zake. Ukiweza kuvuka changamoto hizi bila ya kukata tamaa kinachobaki kwako ni mafanikio tu. Nakutakia siku njema na yenye ushindi kwa sababu najua hutokata tamaa. SOMA; Usianze Biashara Kama Hujui Kitu Hiki Kimoja.