USITUMIE OPERA MINI, TUMIA BROWSER NYINGINE, AU TUMIA BROWSER MPYA KAMA ULIYOKUWA UNATUMIA INASUMBUA.

Habari za leo mpenzi msomaji.
Kwanza kabisa naomba niwatake radhi wasomaji wote ambao mmekuwa mnashindwa kusoma makala kwenye mtandao huu.
Inaonekana kuna tatizo kati ya mtandao huu na browser ya opera mini.
Tumekazana sana kufanyia kazi tatizo hili lakini linaonekana kuchukua muda kuisha.
Nakumomba sana kwa sasa soma blog hii kwa browser nyingine ila sio opera mini.
Na kama kuna browser nyingine uliyokuwa unatumia na sasa ndio inaleta matatizo, tumia browser nyingine ambayo hujawahi kutumia kama mozila, chrome, na kadhalika.
Inaniumiza sana pale ambapo natumia muda mwingi kuandaa makala nzuri kwa ajili yako msomaji halafu unashindwa kuzisoma kwa matatizo ya kiufundi.
Naomba ubadili browser kwa sasa wakati tunaendeela kulifanyia kazi hili tatizo.
Asante sana kwa kuendelea kuwa pamoja.
Makirita Amani
makirita@kisimachamaarifa.co.tz