“Sexual desire is the most all-consuming of desires. This desire is never sated, for the more it is satisfied, the more it grows.” – Leo Tolstoy
Tamaa ya ngono ndiyo tamaa yenye madhara makubwa sana.
Ni tamaa inayochukua nguvu zako nyingi.
Na ni tamaa ambayo haitosheki, kadiri unavyoitimiza, ndivyo inavyozidi kukua zaidi.
Dhibiti tamaa zako, lakini dhibiti zaidi tamaa ya ngono, kwa sababu madhara yake ni makubwa.
Tamaa hii inateka nguvu zako za mwili, akili na roho,
Tamaa hii inakugeuza mtumwa wakuendelea kuikimbiza bila ya kuridhika.
Ni tamaa unayopaswa kuizima kabla haijapata nafasi ya kukua ndani yako.
Uwe na usiku mwema, usiku wa kuhakikisha una udhibiti wa tamaa zote na zaidi tamaa ya ngono.
Kocha Dr Makirita Amani.