
Huwezi kufanya chochote bila hisia na huwezi kuwashawishi wengine bila kugusa hisia zao.
Hisia ndiyo zinatoa msukumo kwa mtu kuchukua hatua fulani, lakini wengi wamekuwa wanazitumia kwa namna isiyo sahihi.
Kwenye ukurasa wa 2205 unajifunza kwa kina namna sahihi ya kutumia hisia zako na za wengine, kwa namna ambayo zitaleta manufaa.
Soma ukurasa huo upate hatua sahihi za kuchukua, fungua hapa; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/01/13/2205
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma