Nidhamu ni moja ya misingi muhimu sana ya mafanikio.

Ni nidhamu inayokuwezesha kupanga na kutekeleza ili kufanikiwa.

Nidhamu binafsi ni kujiheshimu mwenyewe na kutekeleza unayopanga.

Nidhamu ya kazi ni kujiwekea viwango vya ufanyaji kazi na kuvifuata kila wakati.

Nidhamu ya fedha ni kuongeza kipato, kuweka akiba na kuwekeza.

Nidhamu ya muda ni kutokupoteza muda wako kwa yasiyo muhimu.

Jijengee nidhamu hizi ili kufanikiwa.

Ukurasa wa kusoma ni kuhusu marudio, fungua http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/03/22/2273 soma na uweke maoni yako.

#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma