
Watu wengi hutegemea kupata raha au furaha baada ya kukamilisha kufanya kitu.
Lakini ukweli ni kwamba raha inapatikana wakati wa kukifanya kitu, siyo baada ya kumaliza kukifanya.
Na ili uipate raha hiyo, lazima uwe umechagua na kuridhia kukifanya na wakati wa kukifanya unaweka umakini wako wote hapo.
Usihangaike kutafuta raha na furaha kwa gharama zozote zile, chagua kufanya kitu, weka umakini wako kwenye kukifanya na utaipara raha.
Ukurasa wa kusoma ni kuwatoza wanaokukatisha hiki; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/04/06/2288
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma