
Kipimo rahisi kabisa unachoweza kutumia kuamua kitu gani ufanye ni kuangalia wingi wa wale wanaokifanya kitu hicho.
Ukiona kitu kinafanywa na watu wengi, jua hicho siyo sahihi kwako kufanya.
Kwa sababu watu wengi wanapenda kufanya vitu rahisi na vilivyo rahisi huwa havina thamani kubwa.
Wewe unapaswa kufanya vitu vyenye thamani kubwa ambavyo huwa siyo rahisi na wengi hawavipendi.
Wengi hawafanikiwi kwa sababu mafanikio siyo rahisi, usiwe mtu wa kukimbizana na mambo rahisi bali kuwa imara ili uweze kukabiliana na chochote.
Ukurasa wa kusoma ni rahisi ni hatari; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/04/10/2292
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma