‎
‎Rafiki yangu,
‎
‎Kila asubuhi unaamka.
‎Kila kitu kinaanza bila mpango.
‎Siku zinapita, matokeo hayapo.
‎
‎Tatizo si wewe.
‎Tatizo si uwezo wako.
‎Tatizo ni muda wako.
‎
‎Muda ambao huna mpangilio.
‎Unapoziendea siku zako tu, bila ratiba, kila kitu kinakuwa dharura.
‎
‎Unamaliza siku bila ushindi wowote.
‎Kila kazi unayoifanya, inakaa bila matokeo.
‎Ndoto zako hubaki kwenye karatasi.
‎
‎Kila hatua haina mwelekeo.
‎Hapa ndipo wengi hupoteza miaka yao bila kujua.
‎Miaka mitano, au kumi, hupita kama upepo.
‎
‎Ukiona wengine wanashinda, wewe bado unasonga kwa presha tu.
‎Motisha ya siku moja? Haihudumu.
‎Inaangusha tu.
‎
‎Ukichoka, husonga bila mafanikio.
‎Hapa ndipo mfumo unakuja.
‎Mfumo wa kudhibiti muda.
‎
‎Kitabu cha MUDA UPO hakikupi maneno ya faraja.
‎Kinakupa ramani ya kuiongoza siku yako.
‎Unapopanga dakika zako vizuri:
‎
‎Unajua la kufanya.
‎Unajua lini.
‎Unajua kwa nini.
‎
‎Akili inapumzika.
‎Msongo unapungua.
‎Siku zinakuwa na mwelekeo.
‎
‎Hatua zako zinafaa.
‎Matokeo yanakuwa wazi.
‎
‎Hebu niambie hadithi ya Juma.
‎Juma alikuwa busy kila siku.
‎Kila mwezi, hakuna faida halisi.
‎Ndoto yake ya kuwa mmiliki wa biashara ilibaki ndoto.
‎Alipopata kitabu cha MUDA UPO.
‎
‎Alijua kila dakika ina thamani.
‎Siku zake zilipangwa.
‎Akili yake ilitulia.
‎Msongo ulipungua.
‎
‎Biashara ilianza kukua.
‎Rafiki, jambo hili linaweza kuwa kwako pia.
‎Huna haja ya kuishi kwa presha isiyo na mwisho.
‎
‎Huna haja ya kupoteza dakika zako.
‎Unaweza kuanza leo.
‎
‎Kitabu cha MUDA UPO si maneno tu.
‎Ni mfumo.
‎Kinakuonesha jinsi ya kuongoza kila siku.
‎Hatua kwa hatua.
‎
‎Usisubiri motisha au bahati.
‎Dakika unazopoteza leo, ndizo zinazokupotezea kesho.
‎
‎Bila mfumo, huna udhibiti.
‎Bila ratiba, huna amani.
‎Chukua hatua sasa.
‎
‎Soma kitabu cha MUDA UPO.
‎Anza kudhibiti dakika zako.
‎Ukijifunza kutumia muda vyema:
‎
‎Akili inatulia.
‎Moyo unaridhika.
‎Maisha yanakuwa na mpangilio.
‎
‎Hapa unaweza kuanza 👇
‎https://wa.link/qb711b
‎
‎Karibu, rafiki.
‎Chukua hatua.
‎Hakikisha kila dakika inachangia mafanikio yako.
‎
‎Hapa.
‎0756694090.