
“Death is a challenge. It tells us not to waste time… It tells us to tell each other right now that we love each other.” – Leo Buscaglia
Kifo kinatupa fursa ya kuonesha upendo wetu kwa wengine na kutokupoteza muda tulionao sasa.
Kumbuka ulionao sasa hutaendelea kuwa nao milele, hivyo tumia vizuri wakati ambao upo nao sasa.
#MementoMori #KifoNaUpendo #KochaMakirita