Manufaa makubwa ya safari ya mafanikio siyo kile unachopata unapokuwa umefanikiwa, bali aina ya mtu unayekuwa baada ya kuwa umefanikiwa.

Safari ya mafanikio itakubadili sana wewe kwa kiwango kikubwa, itakufanya uwe bora kuliko ulivyo sasa.

Hivyi kaa kwenye safari hii, siyo kwa sababu utapata vitu fulani, ila kwa sababu utakuwa mtu wa aina fulani, ambaye ni bora na anaweza kukabiliana na chochote.

Ukurasa wa kusoma ni manufaa mengine ya safari ya mafanikio; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/05/07/2319

#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma