
Kupata ushindi kwenye maisha yako kazana kulata ushindi kwenye siku zako.
Kazana kuiishi kila siku kwa ushindi kwa kuwa na vipaumbele sahihi na kuvifanyia kazi hivyo.
Kila siku hakikisha kuna kitu unafanya ambacho ni cha ushindi na kumbukumbu yake itaendelea kuwepo.
Huwezi kuwa na maisha ya ushindi kama unazipoteza siku zako kwa kuhangaika na yasiyo na tija.
Muda haukungoji wewe, kila siku inayoisha ni siku uliyopunguza kwenye maisha yako, hivyo hakikisha kila siku inakuwa ya ushindi mkubwa.
Ukurasa wa kusoma ni adui mkuu kwenye vita ya maisha yako; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/05/25/2337
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma