
Kila maamuzi unayofanya kwenye maisha yako huwa yana athari kwenye maisha ya wengine.
Hiyo ni kwa sababu sisi binadamu tunategemeana sana kwenye maisha.
Na chochote unachotaka kwenye maisha yako wanacho wengine, hivyo unachohitaji ni kuweza kuwapa wanachotaka ili nao wakupe unachotaka.
Huwezi kufanikiwa peke yako bila kuhusiana na wengine, hivyo angalia namna maamuzi unayofanya yanavyowaathiri wengine.
Ukurasa wa kusoma ni tunategemeana sana; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/06/29/2372
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma