
Kama kuna watu unataka wabadili maamuzi na misimamo yao, usikazane kuwaonyesha kwamba wamekosea, badala yake wape taarifa mpya zinazowapa nafasi ya kufanya maamuzi mapya.
Hakuna mtu anayependa kukiri kwamba amekosea, hivyo kuwaonyesha wamekosea kunawafanya wazidi kusimamia maamuzi yao.
Lakini unapowapa taarifa mpya ambazo zinawapa mtazamo mpya, wanaamua wenyewe kufanya maamuzi mapya.
Ukurasa wa kusoma ni maamuzi mapya baada ya taarifa mpya; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/07/05/2378
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma