Yote huwa yanatokea, na siyo kwa kupenda au kutokupenda kwako, bali ni sehemu ya maisha.

Lakini unapoweka mipango yako, huwa unaangalia mzuri yanayoweza kutokea na kuyasahau mabaya. Kinachotokea ni kuumizwa sana pale mabaya yanapotokea.

Hupaswi kuruhusu kitu chochote kitokee kwa mshangazo kwako, yaani kitokee bila ya kutegemea kabisa.

Tafakari matokeo ya aina zote na ona namna gani utakabiliana nayo, kuwa na maandalizi ya mapema na hilo litakusaidia kudumu kwenye mipango yako.

Ukurasa wa kusoma ni kibaya zaidi kinachoweza kutokea; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/07/17/2390

#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma