
Huwa hatupendi kukosea kwa sababu tunachukulia kukosea ni kutokujua na kushindwa.
Lakini kukosea ndiyo mwanzo mzuri wa kujifunza. Unapokosea unakuwa na fursa ya kujifunza kipi kinafanya kazi na kipi hakifanyi kisha kuchukua hatua zilizo sahihi.
Usiache kufanya maamuzi au kuchukua hatua kwa sababu unaogopa kukosea, kukosea ndiyo mwanzo wa kujifunza, kosea, jifunze na uweze kuwa bora zaidi.
Ukurasa wa kusoma ni maamuzi ya kufa na kupona; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/08/13/2417
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma