
Kwa Nini 4 Za Kujiuliza Kila Siku Ili Ufanikiwe
Rafiki yangu uwe unajua au hujui lakini unahitaji kujiuliza hizi kwa nini nne kila siku,
…ili kujipatia majibu na kisha kuyafanyia kazi ili uweze kufikia
mafanikio makubwa sana kwenye maisha yako;
1; Kwa nini? Hii ni kwa nini ya kwanza inayokusukuma, ni kwa nini inayohusisha uwepo wako hapa duniani.
Unahitaji kujua kwa nini upo hai, na kwa nini upo hapa duniani, kisha kujipa jibu na kufanyia kazi.
2;, Kwa nini isiwe.
Hapa unajiuliza kwa nini mpaka sasa hujafika pale unapotaka kufika,
…itakusaidia kujua kile ambacho kinakuzuia na jinsi ya kukivuka.
3 ; Kwa nini isiwe mimi.
Hii inakusaidia kuona kwamba unaweza kupiga hatua, maana wengine
nao wameweza,
…kwa nini wewe usiweze.
4; Kwa nini isiwe sasa. Kama umekuwa unapanga mambo na kuahirisha,
kwa nini hii inakupa hamasa ya kuchukua hatua sasa na usisubiri tena.
Kila unapoianza siku yako, ziandike kwa nini hizo nne;
Anyway kama unataka kukuza mauzo yako mara 2 zaidi basi bonyeza hapa