Shimo lolote ambalo upo, umechimba wewe mwenyewe.
Gereza lolote ambalo upo, umejifungia wewe mwenyewe.
Chochote unachoona kinakukwamisha, ni wewe mwenyewe umekitengeneza.
Upo huru kuendesha maisha ambayo unayataka mwenyewe.
Acha kulalamika na tumia vizuri uhuru ulionao.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
