Ukitegemea mambo yawe rahisi na yakawa magumu, inakuwa rahisi kwako kuacha kufanya.

Lakini ukitegemea mambo yawe magumu na yakawa magumu, utapambana kuyavuka.

Usijikwamishe na kutafuta urahisi, jua yoyote makubwa ni magumu na yapambanie mpaka upate matokeo unayoyataka bila kukata tamaa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita