Chochote ambacho mtu anakipata kwenye maisha yake, ndicho hasa ambacho amekuwa anakitaka.

Kama unataka kupata matokeo ya tofauti na unavyopata sasa, anza kwa kubadili mtazamo wako wa ndani wa nini hasa unachotaka kwenye maisha yako.

Kwa bahati mbaya sana, hayupo anayeweza kukubadilisha isipokuwa wewe mwenyewe.

Pia epuka kujipa kazi ngumu za kuwabadili wengine, hilo halipo ndani ya uwezo wako.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita