Haijaisha mpaka imeisha,
Kazi yako haijakamilika mpaka umepata unachotaka.
Kama bado hujapata unachotaka, unapaswa kuendelea kuweka kazi zaidi.
Usifanye vile unavyoweza, bali fanya kadiri inavyowezekana.
Itakuwa ngumu kuliko ulivyotarajia, lakini itakuwa na manufaa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
