Kisasi sahihi cha kulipa kwa wote waliokukwamisha ni kupata mafanikio makubwa sana kiasi cha wao kuonekana kama wanacheza tu.

Usipoteze nguvu zako kwa jambo lolote ambalo halikupi ushindi mkubwa zaidi wewe.
Kazana kushinda zaidi, iko ndani ya uwezo wako na ndiyo adhabu tosha kwa wanaokukwamisha.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita