Kukwamishwa kupata kile unachotaka, ni mpaka wewe mwenyewe utoe ruhusa.
Wewe ndiye mdhibiti na mwamuzi mkuu wa maisha yako.
Tumia vizuri hayo mamlaka kuhakikisha unapata kila unachotaka kwenye maisha yako.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
