Washindi huwa wameshindwa mara nyingi kukiko washindwa.

Washindi ni washindwa waliogoma kukubaliana na kushindwa.

Washindi waliendelea licha ya kushindwa.

Ni kuendelea kufanya licha ya kushindwa ndiyo kumewatofautisha washindi na washindwa.

Kama unataka ushindi, goma kushindwa.
Usikubali kushindwa kukukwamishe kwa namna yoyote ile.

Endelea kufanya mpaka upate kile unachotaka.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita